John 9:35-37

Upofu Wa Kiroho

35 aYesu aliposikia kuwa wamemfukuzia nje yule mtu aliyemfumbua macho, alimkuta akamuuliza, “Je, unamwamini Mwana wa Adamu?”

36 bYule mtu akamjibu, “Yeye ni nani, Bwana? Niambie ili nipate kumwamini.”

37 cYesu akamjibu, “Umekwisha kumwona, naye anayezungumza nawe, ndiye.”

Copyright information for SwhNEN